Je wewe ni mkaazi wa jijini Dar Es Salaam ? Unatafuta chumba cha kupanga, nyumba ya kupanga, au Apartment ya kupanga ambayo utalipia kodi kwa muda wa miezi mitatu ?
Je wewe ni mkaazi kutoka mkoani ambae unatamani kuanza maisha jijini Dar Es Salaam lakini haujui mahali pa kupata chumba au nyumba ya kupanga kwa bei nafuu kwa malipo ya kodi basi hii ni habari njema sana kwako.
AFRICANDADAZ wanakuletea orodha ya vyumba na nyumba za kupanga jijini Dar Es Salaam kwa malipo ya kodi ya miezi mitatu.
Vyumba na nyumba hizo vinapatikana katika maeneo mbalimbali jijini Dar Es Salaam kuanzia
Bunju, Goba, Hananasif, Kawe, Kibamba, Kigogo, Kijitonyama, Kimara, Kinondoni, ,Mabibo, Magomeni, Makuburi, Makumbusho, Makurumula, Manzese, Mbezi, Mburahati, Mbweni, Mikocheni, Msasani, Mwananyamala, Mzimuni, Ndugumbi, Sinza, Tandale, Ubungo Buguruni, Chanika, Gerezani, Ilala, Jangwani, Kariakoo, Kinyerezi, Kipawa, Kitunda, Kisutu, Kivukoni, Kiwalani, Mchafukoge, Mchikichini, Msongola, Pugu, Segerea, Tabata, Ukonga,Upanga East, Upanga West, Vingunguti, Azimio, Chamazi, Chang'ombe, Charambe, Keko,Kigamboni,Kibada, Kimbiji, Kisarawe II, Kurasini, Makangarawe, Mbagala,Mbagala Kuu,Miburani,Mjimwema,Mtoni,Pemba Mnazi, Sandali,Somangira,Tandika,Temeke,Toangoma,Vijibweni, hadi Yombo Vituka
Unachotakiwa kufanya ni kutembelea kila siku kwenye blogu yetu ili upate kuona update ya vyumba , nyumba na Apartments zinazo pangishwa katika maeneo mbalimbali ya jijini Dar Es Salaam kwa kodi ya kuanzia miezi mitatu.
Kwa taarifa zaidi kuhusu vyumba, nyumba na Apartments mbalimbali zinazo pangishwa jijini Dar Es Salaam kwa kodi ya kuanzia miezi mitatu. Tutembelee:
from MPEKUZI
Comments
Post a Comment