Mafuta ya Manemane ni mafuta yenye nguvu kubwa sana katika kusafisha, kutakasa na kupandisha nyota ya mtu.
Nguvu ya mafuta haya matukufu haipo tu katika kusafisha na kupandisha nyota za watu pekee.
Mafuta ya manemane yana uwezo mkubwa sana pia katika kutakasa maeneo kama nyumbani au sehemu ya biashara.
Chochote kitakacho pakwa kwa mafuta ya manemane basi kitatakaswa.
Hata ukipaka vyombo vyako au nguo zako za kuvaa kwa mafuta ya manemane basi vitatakaswa pia.
Hata ukipaka banda lako la kufugia kuku au shamba lako kwa mafuta ya manemane basi vitatakaswa.
JINSI YA KUANDAA MAFUTA YA MANEMANE
1. Mafuta ya manemane lita moja.
2. Mdalasini laini nusu kilo ( Tumia mdalasini wa India wa magome, utwange hadi ulainike na kuwa laini kabisa )
3. Mafuta ya Kane nusu lita
4. Mafuta ya kida nusu lita
5. Na mafuta ya Mzeituni vijiko vikubwa vitano.
Changanya vitu vyote hapo juu kisha hifadhi kwenye chupa safi.
JINSI YA KUTUMIA
Tumia kupaka kwenye paji la uso kila siku asubuhi unapoenda kwenye shughuli zako na usiku kabla ya kulala baada ya kuwa umeoga tayari.
Unaweza kutumia kwa kuoga pia au kupigia deki nyumba yako au eneo lako la biashara.
Unaweza pia kupaka mafuta haya kwenye mlango wa kuingilia nyumbani kwako au kwenye eneo lako la biashara.
Haya ni mafuta matukufu mno ambayo yanakaliwa na majini na malaika wakubwa.
Unapo jipaka mafuta haya maana yake ni kwamba unakuwa umejipaka nguvu ya majini na malaika wanao kalia mti wa Manemane.
Hivyo ukijipaka mafuta haya unakuwa unatembelea nyota ama nguvu ya majini wakubwa wanao kalia mti wa Manemane kwa sababu unakuwa umeunganisha nyota yako na nguvu ya majini watukufu wanao yakalia mafuta haya matukufu.
Ni mafuta mujarabu sana katika kusafisha na kupandisha nyota ya mtu.
Mafuta haya hukimbiza wachawi na majini wote wachafu na kisheitwani na kuvuta heri na mambo yote mazuri kwenda kwa mtu aliye jipaka kwa sababu anakuwa anatembelea nyota ya majini wanao kalia mafuta haya.
Mafuta haya hutumika kubatilisha vifungo vyote vya kichawi kuanzia vifungo vya maisha hadi vile vya magonjwa ya kichawi.
Kama umefungwa usizae basi mafuta haya ni mujarab sana, kwa sababu yatasaidia kufungua kifungo hicho cha kutokuzaa.
Kama umetupiwa maradhi ya kifafa cha kichawi au maradhi ya kupooza basi mafuta ya manemane yatakusaidia sana.
Kwa ufupi ni mafuta yanayo fungua vifungo vya magonjwa ya kichawi ya aina zote.
Kama una madhabahu yako nyumbani kwako basi itakase kwa mafuta ya manemane.
unataka kutakasa ndoa yako, familia yako, watoto wako, biashara yako, kazi yako au nyota yako kwa ujumla basi mafuta ya manemane ni mujarab sana kwa kazi hiyo.
Mafuta ya manemane ni mafuta ya kinabii ambayo yamekuwa yakitumika kutakasa watu na maeneo toka enzi za mitume na manabii.
Enzi za mitume na manabii watu wa kawaida walikatazwa kabisa kujipaka mafuta haya.
Walio ruhusiwa kupakwa mafuta haya ni makuhani na wafalme pekee.
Sababu kuu iliyo fanya watu wa kawaida kukatazwa kutumia mafuta haya ni nguvu kuu inayo ambatana na mtu alie pakwa mafuta haya.
Ilihofiwa kwamba watu wa kawaida wangejipaka mafuta haya basi nao wangekuwa na nguvu za kikuhani na kifalme.
Ndio maana ilikatazwa kabisa kwa mtu wa kawaida kupakwa mafuta haya na yoyote alie enda kinyume basi angeuwawa yeye pamoja na familia yake yote.
Pia watu wa kawaida walikatazwa kuyatengeneza mafuta haya isipokuwa makuhani tu na yeyote ambae angeenda kinyume basi adhabu yake ilikuwa ni kuuwawa yeye pamoja na familia yake yote.
Pia ilikatazwa kwa wageni kupakwa mafuta hayo kwa sababu ili hofiwa wangepata nguvu sawa sawa na wayahudi kwa hivyo iliwekwa sharia kali ambayo iliwakataza wayahudi kuwapaka mafuta hayo wageni na yeyote ambae angeenda kinyume basi adhabu yake ilikuwa ni kukatiliwa mbali yeye pamoja na watu wake wote. ( KUTOKA 30 :32-33 )
Kama nilivyo dokeza hapo juu mafuta ya manemane ni mafuta ya kikuhani ambayo yalitumika katika nyakati za manabii na mitume.
Ndio maana ukisoma Taurati vizuri utaona kuwa mafuta haya yameelezewa kwenye kitabu cha KUTOKA 30 : 23 – 31.
Ukisoma kitabu hicho hicho cha KUTOKA 30: 32 -33 ndio utaona sasa adhabu kali iliyo tolewa dhidi ya mtu yoyote yule ambae angejaribu kutengeneza mafuta hayo yeye mwenyewe au kujipaka au kumpaka mgeni wake.
Adhabu hiyo kali iliwekwa ili kuzuia nguvu ya mafuta ya manemane isiende kwa watu wa kawaida ambao pengine wangeweza kutumia nguvu ya mafuta hayo kinyume na mipango ya Mwenyezi Mungu kwa sababu mtu aliepakwa kwa mafuta ya manemane alipata nguvu kubwa sana za kiroho.
Manemane ni mti mtukufu wenye kukaliwa na malaika watukufu.
Ni mti ambao uliheshimika na kutukuzwa sana toka enzi za mitume na manabii.
Nabii ISSA BIN MARIAM alivyo zaliwa , zawadi ya kwanza kabisa kupewa ilikuwa ni Manemane, Ubani na Dhahabu ambavyo alipewa na Mamajusi walioenda kumshuhudia baada ya kuona nyota yake mashariki.
( MATHAYO 2 : 11 )
Ukisoma vizuri maandiko matakatifu utagundua kuwa Mwenyezi Mungu kupitia mitume na manabii wake anatushauri wana wa Adamu tufukize na kutakasa nyumba zetu kwa kutumia Manemane.
Manemane ina matumizi mengi sana . Miongoni mwa matumizi ya manemane ni kutumika kama mafusho kwa ajili ya kufukuza majini wachafu katika eneo husika.
Manemane inapo chomwa kama fusho husaidia kuleta Amani na maelewano ndani ya nyumba kwa sababu hufukuza majini wote wabaya ndani ya nyumba. ( KAMA WEWE NA MUMEO/MKEO HAKUNA MAELEWANO KATI YENU BASI NINAWASHAURI ANZENI KUCHOMA MANEMANE INSHAALAH MTAPATA MATOKEO MAZURI SANA )
Manemane husaidia kuongeza nguvu ya mafusho yoyote yale.
Unacho takiwa kufanya ni kuongeza Manemane katika kila fusho unalo fukiza.
Ndio maana tunapokuwa tunachoma ubani huwa tunachanganya na Manemane ili kuuongezea nguvu ubani.
Moshi wa Manemane husaidia kutakasa eneo linalo sumbuliwa na majini wachafu.
Kama unahisi unasumbuliwa na wachawi nyumbani kwako au katika eneo la biashara basi we fukiza eneo hilo kwa Manemane.
Manemane pia hutumika kama tiba ya magonjwa na maradhi mbalimbali yanayo msumbua mwanadamu.
Manemane inapochanganywa na dawa mbalimbali za asili na za kisunna huwa na uwezo wa kutibu na kuondosha kabisa maradhi lukuki yanayo msumbua mwanadamu.
Baadhi ya magonjwa na maradhi hayo ni pamoja na : Vidonda vya tumbo, pumu, homa, matatizo katika mapafu, matatizo katika ini, magonjwa ya moyo, tatizo la magoti kuvimba, maumivu katika tumbo, saratani, ukoma,kaswende, msuli, tatizo la kukosa choo, matatizo ya kinywa na meno, tatizo la harufu mbaya ya kinywa, bawaziri, vidonda vya majeraha, matatizo katika hedhi, majipu nakadhalika.
Uwezo wa kiroho wa Manemane pamoja na uwezo wa kutibu na kuondosha magonjwa na maradhi mbalimbali yanayo mkabili mwanadamu, nimeulezea kwa kina sana katika kitabu change kiitwacho “ MAMBO TISA YANAYO UNDA NYOTA YA MWANADAMU : UHUSIANO KATI YA NYOTA YA MTU NA MAFANIKIO YAKE KATIKA MAISHA.”
Kujua kuhusu yaliyomo ndani ya kitabu hicho, tembelea : http://mungwakabhili.blogspot.com/2018/06/mambo-tisa-yanayo-unda-nyota-ya.html
MAKALA HAYA YAMEANDALIWA NA DOKTA. MUNGWA KABILI. ANAPATIKANA KWA SIMU NAMBA 0744 - 000 473.

from MPEKUZI
Comments
Post a Comment