PICHA: Tazama jinsi Makamu wa Rais alivyokutana na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan amekutana na kusalimia na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Amina J. Mohammed ambapo walikutana katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mohammed V mjini Casablanca Morocco. 

Makamu wa Rais alikuwa njiani kuelekea nchini Mauritania ambako mkutano wa 31 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika unafanyika.


from MPEKUZI

Comments