Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akizungumza na Mnadhimu Mkuu wa JWTZ (Chief of Stuff) Luteni Generali Salum Haji Othman,alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kujitambulisha akiwa na ujumbe aliofuatana nao .[Picha na Ikulu] 01/08/2022
from MPEKUZI
Comments
Post a Comment