Zipo sababu kuu 2 kwanini wanaume walio jihusisha na punyeto kwa muda mrefu maumbile yao husinyaa na kunywea kiasi cha kuyafanya yaonekane kama maumbile ya mtoto.
SABABU YA KWANZA:
Tendo la kujichua linapo fanyika kwa muda mrefu huathiri na kuharibu misuli ya uume na hivyo kusababisha kujengeka kwa mafuta na tishu zisizo vutika kwenye mishipa ya ATERI.
Kujengeka kwa mafuta na tishu zisizo vutika kwenye mishipa ya ateri husababisha mambo makuu mawili.
1.
Kwanza huzuia mishipa ya ateri kupanuka na kuongezeka.
KUPANUKA NA KUONGEZEKA KWA MISHIPA YA ATERI NI JAMBO MUHIMU SANA KATIKA UKUAJI WA MAUMBILE YA KIUME.
Mishipa hii inapo shindwa kupanuka na kuongezeka huathiri ukuaji wa maumbile ya kiume na hivyo kusababisha maumbile ya mhusika kudumaa.
2.
Lakini pili, kujengeka kwa mafuta na tishu zisizo vutika ndani ya mishipa ya ateri huzuia na kuathiri kutiririka kwa damu kwenye misuli ya uume.
Mambo haya mawili yanapo tokea, huathiri uzalishaji wa homoni zinazo husika na kuchochea ukuaji wa maumbile ya kiume. Homoni hizi hujulikana kitaalamu kama HGH na huzalishwa kwenye ini.
Hali hii inapo tokea basi maumbile ya kiume ya mhusika husinyaa na kudumaa kiasi cha kuyaf
anya yaonekane kama ya mtoto mdogo.
SABABU YA PILI:
Upigaji wa punyeto huathiri utendaji wa ini. Na katika ini ndimo zinamo zalishwa homoni ziitwazo HGH ambazo hu husika na kufanya kazi ya kuchochea ukuaji wa maumbile ya kiume.
Kinacho fanya ini la mwanaume anae jihusisha na.punyeto lishindwe kuzalisha homoni za HGH ni mwili wa mhusika kukosa kiwango cha kutosha cha nishati kinacho hitajika katika uzalishaji wa homoni hizo. Nishati hii hupotea kwa wingi wakati wa tendo la upigaji punyeto.
Mwanaume anae piga punyeto hutumia nguvu, akili na nishati nyingi sana . Nishati hii ambayo inahitajika mwilini ili itumike katika kazi mbalimbali ikiwemo uzalishaji wa homoni za HGH kwenye ini inatumika kwenye tendo la upigaji punyeto na hivyo kupotea bure.
Kibaya zaidi ni kwamba waathirika wengi wa punyeto huanza kujihusisha na punyeto wakati wa balehe.
Na kwa mujibu wa tafiti mbalimbali za kitaalamu, ni katika kipindi hiki hiki cha balehe ndio kipindi ambacho homoni za HGH huzalishwa kwa wingi na huhitajika kwa wingi mwilini katika kufanya kazi ya kuchochea ukuaji wa maumbile ya kiume pamoja na sehemu nyingine za mwili.
Matokeo yake ini linashindwa kufanya kazi ya kuzalisha homoni hizo kwa sababu ya kukosa kiwango cha nishati kinacho hitajika ili kuweza kuzalishwa kwa homoni hizo.
Kukosekana kwa homoni hizo hupelekea maumbile ya kiume ya mhusika kushindwa kuongezeka ambako huenda sambamba na kusinyaa, kulegea na kunywea ndani kiasi cha kuyafanya yaonekane kama ya mtoto.
NINI SULUHISHO LA MAUMBILE YA KIUME YALIYO ATHIRIKA KWA PUNYETO
Mwanaume ambae maumbile yake ya kiume yame athiriwa na upigaji punyeto wa muda mrefu anatakiwa apate tiba maalumu ya asili ambayo INATIBU na KUPONYESHA kabisa tatizo la maumbile ya kiume ambayo yameathirika kwa punyeto. Tiba hii ya asili mbali na kufanya kazi ya KUREFUSHA na KUNENEPESHA maumbile ya kiume ambayo yamesinyaa kwa ajili ya punyeto lakini pia INATIBU na KUPONYESHA kabisa tatizo la ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume linalo tokana na kufanya punyeto kwa muda mrefu.
Tiba hii husaidia kuimarisha misuli ya uume ulio legea kwa sababu ya punyeto na kuurejesha uume katika hali yake ya kawaida na hivyo kumfanya mhusika kufurahia tendo la ndoa kwa kumpa uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa muda mrefu na kuwa na uwezo wa kurudia tendo hilo mara nyingi bila kuchoka, jambo ambalo ni gumu sana kwa muathirika wa punyeto.
Waathirika wengi wa punyeto hawana uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa muda mrefu na pindi wanapo maliza kufanya tendo, kurudia tendo hilo huwa ni mtihani mkubwa sana. Uume unakuwa hauna uwezo wa kusimama tena na huhisi maumivu kwenye misuli ya uume.
Mwanaume anae fanya punyeto hutumia nguvu nyingi na hivyo kuua nguvu ya misuli ya uume. Matokeo yake misuli hiyo hukosa afya na kushindwa kusimama barabara wakati wa tendo la ndoa.
Mbali na KUTIBU tatizo la ukosefu na/ama upungufu wa nguvu za kiume kwa mwanaume ambae ameathirika na upigaji punyeto, tiba hii pia ina faida nyingine lukuki kwenye mwili wa binadamu. Baadhi ya faida hizo ni pamoja na :
1.
Kushusha na kudhibiti presha kwa hiyo humsaidia hata mwanaume mwenye tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume ambalo linatokana na tatizo la presha.
2.
Kudhibiti kiwango cha sukari kwenye damu kwa hiyo humsaidia hata mwanaume ambae tatizo lake la ukosefu wa nguvu za kiume linasababishwa na kuwa na sukari nyingi kwenye damu.
3.
Husaidia kuondoa sumu kwenye mishipa ya damu. Sumu hizo kwa mujibu wa tafiti mbalimbali za kitaalamu endapo zita achwa bila kudhibitiwa mapema huweza kusababisha athari kubwa kiafya kama vile kuwa katika hatari ya kushambuliwa na magonjwa hatari yasiyo ambukizwa kama vile tatizo la presha,sukari na matatizo katika moyo.
4.
Kudhibiti la mapigo ya moyo kwenda kasi
5.
Kudhibiti tatizo la kushuka kwa mapigo ya moyo.
6.
Kudhibiti hatari ya kupatwa na magonjwa hatarishi kama vile shambulio la moyo.
7.
Kudhibiti hatari ya kupatwa na tatizo la kupooza ama kiharusi kwa lugha nyingine.
8.
Kudhibiti kuganda kwa mafuta ndani ya mishipa ya ateri
9.
Kuondoa mafuta yasiyo hitajika kwenye damu ( Lehemu/kolestrol)
10.
Kudhibiti uzito pamoja na faida nyingine nyingi za kiafya.
11.
Dawa hii ina kiwango kikubwa cha madini ya magnesium ambayo ni madini muhimu sana kwenye afya ya mwili. Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali za kitaalamu, magnesium ni moja kati ya madini muhimu sana kwenye mwili wa binadamu. Ukosefu wa madini ya magnesium mwilini huweza kusababisha matatizo mbalimbali kwenye mwili wa mwanadamu kama vile tatizo la presha ya kupanda na hitilafu katika mapigo ya moyo.
12.
Dawa ina virutubisho vingi muhimu katika afya ya mwili.
JINSI YA KUPATA DAWA HII
Kupata dawa hii fika katika duka la kuuza dawa za asili la
NEEMA HERBALIST. Tunapatikana UBUNGO jijini DAR ES SALAAM jirani na SHULE YA MSINGI UBUNGO NATIONAL HOUSING nyuma ya jengo la UBUNGO PLAZA.
Kwa wateja wetu waliopo jijini DAR ES SALAAM ambao hawana nafasi ya kufika dukani kwetu tunayo huduma ya kuwapelekea dawa mahali walipo ( HOME & OFFICE DELIVERY) na kwa wateja wetu waliopo nje ya mkoa wa Dar Es Salaam, tunatumia dawa kwa njia ya usafiri mbalimbali.
WASILIANA NASI KWA SIMU NAMBA: 0766 53 83 84 AU 0693 005 189.
Na kufahamu zaidi jinsi suala la upigaji punyeto linavyo sababisha tatizo la ukosefu na upungufu wa kiume, tembelea
from MPEKUZI
Comments
Post a Comment