Kunakili/ Kuandika Notisi Zenye Makosa, Kunavyo Sababisha Wanafunzi Sekondari Kufanya Vibaya Kwenye Mitihani Yao Ya Taifa
RafikiElimu EDUCATION Consultancy ni Taasisi binafsi inayo jihusisha na USIMAMIZI wa MAENDELEO ya KITAALUMA kwa wanafunzi wanao soma katika shule za sekondari Tanzania.
Taasisi kwa makubaliano binafsi kati ya taasisi na mzazi/mlezi, inafanya kazi ya kufuatilia na kusimamia maendeleo ya kitaaluma kwa wanafunzi wanao soma katika shule za kutwa ( Day Scholars ) pamoja na wale wanao soma katika shule za bweni ( Boarding Scholars )
Tasisi ina toa huduma hii kwa wanafunzi wa sekondari waliopo ndani ya mkoa wa Dar Es Salaam, pamoja na wale waliopo nje ya mkoa wa Dar Es Salaam.
Vile vile, RafikiElimu EDUCATION Consultancy ina wasimamia pia wanafunzi wanao jiandaa na mitihani ya kidato cha nne, au sita kama watahiniwa binafsi ( Private Candindates ) , wanafunzi wanao jiandaa kurudia mitihani yao ya kidato cha nne au sita ( Reseaters), pamoja na wanafunzi wanao soma masomo ya kidato cha nne kwa programu ya miaka miwili au kidato cha tano na sita kwa programu ya mwaka mmoja.
Lengo kuu la taasisi ni kuhakikisha wanafunzi wote inao walea kitaaluma na kuwasimamia kitaaluma, wanafaulu kwa kiwango cha juu kabisa katika mitihani yao ya kidato cha nne na ile ya kidato cha sita.
Tunapatikana CHANIKA jijini DAR ES SALAAM, kupitia simu namba
0717 80 69 44.
Unaweza pia kuwasiliana nasi kupitia barua pepe yetu ambayo ni : rafikielimutanzania@gmail.com
RafikiElimu EDUCATION Consultancy , tumeandaa makala fupi inayo elezea namna suala la kunakili notisi zenye makosa miongoni mwa wanafunzi wanao soma katika shule za sekondari nchini Tanzania, linavyo sababisha wanafunzi hao kufanya vibaya katika mitihani yao ya mwisho na namna ya kukabiliana na tatizo hilo kitaalamu.
Unaweza kusoma kwa kirefu kuhusu Makala hayo, kwa kubofya link hii hapo chini :
http://rafikielimu.blogspot.
from MPEKUZI
Comments
Post a Comment