Tangazo tangazo tangazo...!!!
Uongozi wa shule za Lake Tanganyika zilizopo mkoa wa Kigoma na wilaya ya Kigoma vijijin unapenda kuwatangazia nafasi za masomo Kama ifuatavyo;
Nafasi za masomo kidato Cha tano kwa tahasusi zifuatazo HGK,HGL, na HKL .Mwombaji awe na sifa zifuatazo;- awe na C tatu na asiwe na F kwenye comb
Pia Kuna nafasi ya kuhamia kidato Cha Kwanza,tatu na sita
Na pia tuna shule ya msingi yaani English medium Kuna nafasi za kuhamia standard one Hadi standard three
Ada zetu ni rafiki Sana na zinawezekana kwa kila mzazi kumlipia mtoto upande wa secondary ada zetu ni laki Tisa tu kwa mwaka na primary ada zetu ni milioni moja tuu kwa mwaka
Shule Ina mazingira mazuri na walimu wa kutosha wa kuwezesha mwanao kufaulu
Shule ni bweni tu kwa wasichana na wavulana na inachukua dini zote
Kwa mawasiliano zaidi fika shuleni au piga namba zifuatazo
0769697667,0765530794,0624469016,
from MPEKUZI
Comments
Post a Comment