Mwisho wa Kutuma Maombi ya kazi za Makarani na Wasimamizi wa Sensa 2022 Ni Leo May 19....Bofya Hapa Kujua zaidi
Mchakato wa ajira za makarani na wasimamizi ambao ulianza kuanzia Mei 05 utahitimishwa leo Mei 19,2022 ambapo unahusisha ngazi zote za kiutawala kuhakikisha wanapatikana makarani na wasimamizi wenye sifa stahiki.
Watanzania wote wenye sifa ambao wangependa kuomba nafasi za ajira hizo wanahimizwa kuanya hivyo kwa kufuata utaratibu uliowekwa kwa ukamilifu ili kuomba nafasi hizo.
Kuhusu namna ya kufanya maombi hayo, waombaji watatakiwa kutuma maombi yao kupitia mtandao (online) ambao hautahusisha malipo yoyote kwa mwombaji wa ajira.
___________
1. Kusoma vigezo na masharti ya kazi <<bonyeza hapa.>>
2. Kujaza fomu ya maombi ya kazi za sensa <<bonyeza hapa>>
3. Ingia kwenye mfumo kukamilisha usajili(Kubadilisha taarifa na kupandisha fomu Na. 1 ya maombi ya kazi za sensa ILIYOSAINIWA) <<bonyeza hapa>>
from MPEKUZI
Comments
Post a Comment