Rais Samia akutana na kuzungumza na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Airtel Afrika Olusegun Ogunsanya-Dubai, UAE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Airtel Afrika Olusegun Ogunsanya pamoja na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Airtel Afrika Mashariki Ian Ferrao leo tarehe 27 Februari, 2022, Dubai, Umoja wa Falme za Kiarabu UAE
from MPEKUZI
Comments
Post a Comment