Rais Samia awatembelea na kuwajulia hali Mzee Pinda na Mzee Malecela Dodoma


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu Mzee Mizengo Pinda alipomtembelea kumjulia hali Nyumbani kwake Zuzu Mkoani Dodoma tarehe 15 Januari 2022.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu Mzee John Samwel Malecela alipomtembelea kumjulia hali Nyumbani kwake Kilimani Jijini Dodoma  tarehe 15 Januari 2022.


from MPEKUZI

Comments