Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao Cha Kawaida cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi CCM Kilichokutana leo tarehe 17 Desemba, 2021 Ikulu Chamwino Dodoma.
PICHA NA IKULU
Comments
Post a Comment