PICHA: Onesho la silaha na vifaa vita na umahiri wa vikosi vya JWTZ

 Onesho la silaha na vifaa vita na umahiri wa vikosi vya ulinzi na usalama vikipita mbele ya Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Samia Suluhu Kwenye maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Disemba 9,2021



from MPEKUZI

Comments