K - REAL ESTATE : Pata Mkopo wa viwanja vya bei poa


K - REAL ESTATE (mkopo wa viwanja vya bei poa)

K - Win Real Estate wanakuletea mkopo nafuu viwanja na mashamba usio kuwa na riba wala dhamana yoyote ile.

Viwanja vyetu vipo maeneo yafuatayo;

> MAPINGA (upande wa bahari) bei ni 18,000/= kwa Sqm

> KIBAHA MILE MOJA CENTER bei 15,000/= kwa Sqm

> GOBA CENTER bei 40,000 kwa Sqm

> MADALE bei 35,000 kwa Sqm

> GOBA TEGETA “A” bei 40,000 kwa Sqm

> BUNJU “B” bei 25,000 kwa Sqm

NB: Pia tuna viwanja vikubwa maeneo ya Mabwe pande vyenye ukubwa kunzia ekari 1 mpaka 25 vilivyo pimwa maalumu kwaajili ya matumizi ya kujenga SHULE, HOSPITAL, APPARTMENTS, HOTEL KUBWA, KANISA etc

Maeneo yetu yote yamepimwa kwa utaalam mkubwa pia yana hati miliki.

Ofisi zetu zipo jengo la MWENGE TOWER Ground floor, opposite na Mlimani city.
Piga: 0788270776


from MPEKUZI

Comments