Jinsi Ya Kuandaa, Kutayarisha Na Kutumia Supu Ya Dhakari Na Korodani Za Ng’ombe Dume Aliye Komaa Katika Tiba Ya Asili Dhidi Ya Tatizo La Ukosefu Wa Nguvu Za Kiume.
JINSI YA KUANDAA, KUTAYARISHA NA KUTUMIA SUPU YA DHAKARI NA KORODANI ZA NG’OMBE DUME ALIYE KOMAA KATIKA TIBA YA ASILI DHIDI YA TATIZO LA UKOSEFU NA / AMA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.
Tatizo la ukosefu na/ama upungufu wa nguvu za kiume ni tatizo linalo wakabili mamilioni ya wanaume duniani.
Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali za kitaalamu, tatizo la upungufu na/ ama ukosefu wa nguvu za kiume linasababishwa na mambo mbalimbali.
Baadhi ya mambo yanayo sababisha tatizo la ukosefu na/ama upungufu wa nguvu za kiume ni pamoja na haya yafuatayo:
1. TABIA YA KUJICHUA : Kujichua huathiri nakuharibu kabisa misuli ya uume jambo ambalo huathiri ufanisi wa misuli ya uume. Mbali na kuua misuli ya uume , tabia ya kujichua ama kupiga punyeto huathiri ukuaji wa maumbile ya kiume ya mhusika, huyafanya yasinyae na kudumaa kabisa kiasi cha kufanya yaonekane kama maumbile ya mtoto mdogo.
Zipo sababu kuu 2 kwanini wanaume walio jihusisha na punyeto kwa muda mrefu maumbile yao husinyaa na kuwa kama ya mtoto.
SABABU YA KWANZA: Tendo la kujichua linapo fanyika kwa muda mrefu huathiri na kuharibu misuli ya uume na hivyo kusababisha kujengeka kwa mafuta na tishu zisizo vutika kwenye mishipa ya ATERI.
Kujengeka kwa mafuta na tishu zisizo vutika kwenye mishipa ya ateri husababisha mambo makuu mawili. Kwanza huzuia mishipa ya ateri kupanuka na kuongezeka.
KUPANUKA NA KUONGEZEKA KWA MISHIPA YA ATERI NI JAMBO MUHIMU SANA KATIKA UKUAJI WA MAUMBILE YA KIUME. Mishipa hii inapo shindwa kupanuka na kuongezeka huathiri ukuaji wa maumbile ya kiume na hivyo kusababisha maumbile ya mhusika kudumaa.
Lakini pili, kujengeka kwa mafuta na tishu zisizo vutika ndani ya mishipa ya ateri huzuia na kuathiri kutiririka kwa damu kwenye misuli ya uume. Mambo haya mawili yanapo tokea huathiri uzalishaji wa homoni zinazo husika na kuchochea ukuaji wa maumbile ya kiume. Homoni hizi hujulikana kitaalamu kama HGH na huzalishwa kwenye ini.
Hali hii inapo tokea basi maumbile ya kiume ya mhusika husinyaa na kudumaa kiasi cha kuyafanya yaonekane kama ya mtoto mdogo.
SABABU YA PILI: Upigaji wa punyeto huathiri utendaji wa ini. Na katika ini ndimo zinamo zalishwa homoni ziitwazo HGH ambazo hu husika na kufanya kazi ya kuchochea ukuaji wa maumbile ya kiume.
Kinacho fanya ini la mwanaume anae jihusisha na.punyeto lishindwe kuzalisha homoni za HGH ni mwili wa mhusika kukosa kiwango cha kutosha cha nishati kinacho hitajika katika uzalishaji wa homoni hizo. Nishati hii hupotea kwa wingi wakati wa tendo la upigaji punyeto.
Mwanaume anae piga punyeto hutumia nguvu, akili na nishati nyingi sana . Nishati hii ambayo inahitajika mwilini ili itumike katika kazi mbalimbali ikiwemo uzalishaji wa homoni za HGH kwenye ini inatumika kwenye tendo la upigaji punyeto na hivyo kupotea bure.
Kibaya zaidi ni kwamba waathirika wengi wa punyeto huanza kujihusisha na punyeto wakati wa balehe. Na ni katika kipindi hiki hiki cha balehe ndio kipindi ambacho homoni za HGH huzalishwa kwa wingi na huhitajika kwa wingi mwilini katika kufanya kazi ya kuchochea ukuaji wa maumbile ya kiume.
Matokeo yake ini linashindwa kufanya kazi ya kuzalisha homoni hizo kwa sababu ya kukosa kiwango cha nishati kinacho hitajika ili kuweza kuzalishwa kwa homoni hizo.
Kukosekana kwa homoni hizo hupelekea maumbile ya kiume ya mhusika kushindwa kuongezeka ambako huenda sambamba na kusinyaa, kulegea na kunywea ndani kiasi cha kuyafanya yaonekane kama ya mtoto.
2. TATIZO LA KISUKARI : Tatizo la kuwa na sukari nyingi kwenye damu ni chanzo kingine kikuu cha tatizo la upungufu na/ ama ukosefu wa nguvu za kiume. Tatizo la sukari pamoja na mambo mengine, huathiri utendaji kazi wa mishipa inayo tumika kusafirisha damu mwilini. Vile vile tatizo la sukari huathiri pia utendaji kazi wa mishipa ya fahamu iliyopo kwenye ubongo.
Mishipa itumikayo kusafirisha damu mwilini pamoja na mishipa ya fahamu katika ubungo ni viungo muhimu sana katika suala la kuupa uume nguvu na uwezo wa kusimama, kwa sababu ili uume wa mwanaume uweze kusimama ni lazima kwanza mwanaume huyo apate wazo la kufanya tendo la ndoa, wazo hilo hunaswa kwenye mishipa ya fahamu katika ubongo, mishipa ya fahamu katika ubongo hutoa ishara kwenye mishipa ya fahamu katika uti wa mgongo na mishipa ya uti wa mgongo ikisha pata ishara hiyo hupeleka taarifa kwenye mishipa ya ateri ambayo nayo hufunguka na kutanuka , mishipa hiyo ya ateri ikisha funguka na kutanuka, huruhusu kusafirishwa kwa damu kwenye mishipa ya damu kuelekea kwenye misuli ya uume na hivyo kuufanya uume kusimama.
Jambo hili haliwezekani kwa mtu mwenye tatizo la sukari kwa sababu ya kuwa na udhaifu katika mishipa ya damu halikadhalika mishipa ya fahamu katika ubongo.
Udhaifu huu huathiri mawasiliano kati ya mishipa ya fahamu katika ubongo, mishipa ya fahamu katika uti wa mgongo, mishipa ya ateri na misuli ya uume.
Vile vile udhaifu huu huathiri suala zima la kutirika kwa damu kwenye mishipa ya kusafirishia damu jambo ambalo ni muhimu sana kufanyika ili mwanaume aweze kuwa na uhakika wa maumbile yake kusimama pale atakapo hitajika kufanya hivyo.
Mbali na sababu hizo nilizo zitaja hapo, tatizo la sukari huweza pia kusababisha ama kupelekea tatizo la presha ambalo nalo pia ni chanzo kingine kikubwa cha tatizo la ukosefu na/ama upungufu wa nguvu za kiume kwa sababu kama ilivyo kwa tatizo la kisukari, tatizo la presha huathiri pia utendaji kazi wa mishipa itumikayo kusafirisha damu mwilini na suala zima la mtiririko wa damu jambo ambalo ni muhimu sana katika uimara wa nguvu za kiume.
Tatizo la presha lisipo dhibitiwa mapema huweza kusababisha pia magonjwa katika moyo na figo mambo ambayo ni hatari kwa afya ya mtu kwa ujumla wake.
3.KUWA NA LEHEMU/KOLESTROL MAFUTA MENGI MABAYA MWILINI : Kuwa na kiasi kikubwa cha mafuta yasiyo hiutajika kwenye damu ni moja kati ya chanzo kingine kikubwa cha tatizo la ukosefu na/ama upungufu wa nguvu za kiume. Kiasi kikubwa cha mafuta yasiyo hitajika kwenye damu kinaweza kugeuka na kuwa sumu, sumu inayo weza kusababisha magonjwa na matatizo mengine makubwa mwilini, magonjwa kama vile shinikizo kuu la damu ( presha ) na magonjwa katika moyo kwa kutaja machache.
Kiwango cha mafuta mengi yasiyo faa kwenye mishipa ya damu huathiri mishipa ya damu . Huathiri suala zima la usafirishaji wa damu kwenye mishipa ya damu kwa sababu hayo mafuta huzuia damu kusafiri katika mtiririko wake wa asili na hivyo kuathiri kabisa afya ya nguvu za kiume.
Sababu nyinginezo zinazo sababisha tatizo la ukosefu na/ama upungufu wa nguvu wa kiume ni pamoja na kuugua matatizo mbalimbali ya kiafya kama vile ngiri , chango la kiume nakadhalika. Hizo ni baadhi ya sababu ambazo ni vyanzo vya tatizo la ukosefu na /ama upungufu wa nguvu za kiume.
Nikipata nafasi wakati mwingine nitazielezea na sababu nyingine pamoja na kuzichambua kwa kina sababu nilizo zitaja hapo juu pamoja na zile nilizo zigusia kwa ufupi
SULUHISHO NI NINI ?
Mwanaume mwenye tatizo la ukosefu na / ama upungufu wa nguvu za kiume anatakiwa apate tiba sahihi ya tatizo lake. Tiba inayo tibu na kuponyesha kabisa tatizo la ukosefu na/ama upungufu wa nguvu za kiume.
Zipo tiba mbalimbali zinazo weza kutibu na kuponyesha kabisa tatizo la ukosefu na ama upungufu wa nguvu za kiume.
Miongoni kati ya tiba hizo ni pamoja na hii hapa ambayo nina ielezea kwenye makala haya.
MAHITAJI
1. Dhakari za n’gombe alie komaa . Ujazo wake uwe kilo moja.
2. Korodani za n’gombe aliekomaa ( Iwe pea moja kwa maana ya kokwa mbili za kordoani )
3. Papai bichi
4. Dawa asili ya jiko
MAANDALIZI :
1. Maandalizi ya dhakari za ng’ombe :
· Chemsha maji ya moto kiasi cha lita tatu kwenye sufuria hadi maji yako yachemke kabisa. Maji yakisha chemka ipua kwenye jiko kisha baada ya hapo chukua dhakari hizo za ng’ombe na uzitose kwenye maji hayo na kufunika. Utaziacha kwa muda wa dakika thelathini. Lengo ni kuziosha kwa kutumia maji hayo ya moto ili kuua bacteria.
· Baada ya hapo zitoe dhakari hizo kwenye sufuria ziweke pembeni kwenye sahani, maji hayo yamwage na lioshe sufuria hilo kisha chukua dhakari hizo zitie tena ndani ya sufuria hilo, ongeza maji fresh yajae kiasi cha kuzifunika kabisa hizo dhakari kisha tenga kwenye jiko lenye moto mkali .
· Utaacha vichemke kwa nusu saa hadi dakika arobaini kisha utaipua halafu utachukua hizo dhakari na kuzikata kata vipande vidogo vidogo kiasi unacho weza kuhandle wakati wa kula, baada ya hapo utavirudisha tena vipande hivyo kwenye yale maji uliyo tumia kuchemsha dhakari hizo. Safari hii hauta ya mwaga hayo maji.
· Ukisha maliza zoezi hili utachukua papai bichi limenye kisha saga kwenye blenda au kama hauna blenda tumia kile kifaa kinacho tumika kukwangulia karoti halafu tia ndani ya hilo sufuria ili vichemke pamoja. Lengo la kuweka papai bichi ni kulainisha nyama ya hizo dhakari kwa sababu nyama yake huwa ngumu sana na usipo tumia papai bichi nyama hiyo itakushinda kutafuna.
· Sasa utaacha vichemke kwa dakika arobaini hadi lisaa limoja, hapo sasa supu yako itakuwa tayari kwa kula.
2. MAANDALIZI YA KORODANI ZA NG’OMBE
Chukua korodani hizo za ng’ombe zitoe kwenye ganda lake ubaki na nyama ya ndani kisha zichemshe kwenye mtoto mkali kwa muda wa dakika thelathini hadi arobaini. Baada ya hapo ipua zikate kate vipande vidogo vidogo kisha weka kwenye bakuli kwa ajili ya kula.
JINSI YA KUTUMIA KWA KULA
Kula hizo korodani zilizo tayari pamoja na hizo dhakari zilizo tayari mpaka ziishe zote. Ukishamaliza zoezi la kula hizo korodani pamoja na hizo dhakari, utachukua vijiko vidogo viwili vya dawa asilia ya jiko kisha utatia kwenye kikombe chenye maji ya moto chenye ujazo wa milimita mia mbili hamsini ( 250mills) kisha utakunywa dawa yako.
Zoezi hili utalifanya asubuhi. Jioni utaendelea kutumia dawa ya jiko peke yake kama ulivyo itumia asubuhi. Utaendelea na dozi yako ya dawa ya jiko kwa muda wa siku thelathini. Baada ya siku hizo thelathini utakuwa umepona kabisa tatizo lako la ukosefu na upungufu wa nguvu za kiume ( N.B : ZOEZI LA KUTUMUIA SUPU YA DHAKARI NA KORODANI ZA NG’OMBE UTALIFANYA MARA MOJA TU NA HUTO LIRUDIA TENA )
NJIA MBADALA KWA ASIE WEZA KUPATA DHAKARI NA KORODANI ZA NG’OMBE KWA URAHISI.
Kama kwako itakuwa vigumu kuzipata hizo korodani na dhakari za ng’ombe pamoja na kuzianda na kuzitayarisha unaweza kutumia UJI DUME kama mbadala wa supu ya korodani na dhakari za ng’ombe. UJI DUME unafanya kazi kwa ufanisi ule ule sawa na wa mtu alie tumia supu ya korodani na dhakari za ng’ombe. Huu uji dume unatumika pamoja na dawa ya jiko. Uji dume unatumika kwa muda wa siku thelathini pamoja na dawa ya jiko.
JINSI YA KUTUMIA UJI DUME NA DAWA YA JIKO.
Koroga uji dume kikombe kimoja kisha kunywa. Kaa dakika tano hadi kumi kisha chukua vijiko vidogo viwili vya dawa ya jiko uvitie kwenye kikombe cha maji ya moto koroga kisha kunywa. Zoezi hili utalifanya mara mbili kwa siku asubuhi na usiku kwa muda wa siku thelathini. Unaweza kupika vikombe viwili vya uji dume kisha kavigawanya mara mbili kimoja ukakitumia asubuhi na kingine ukakitumia usiku.
Makala haya yameandaliwa na kutayarishwa na DUKA LA NEEMA HERBALIST, wauzaji wa dawa mbalimbali za mimea. Tunapatikana UBUNGO Jijini DAR ES SALAAM nyuma ya jengo la UBUNGO PLAZA jirani na SHULE YA MSINGI UBUNGO NATIONAL HOUSING.
Kwa wateja wetu waliopo jijini DAR ES SALAAM ambao hawana nafasi ya kuja ofisini tunatoa huduma ya kuwapelekea dawa mahali popote walipo ndani ya jiji la Dar Es Salaam ( HOME & OFFICE DELIVERY) na kwa wateja wetu waliopo nje ya mkoa wa Dar Es Salaam tunawatumia dawa kwa njia ya usafiri wa mabasi mbalimbali na kwa wateja wetu waliopo Zanzibar tunawatumia dawa kwa njia ya usafiri wa boti.
Kwa wateja wetu waliopo NAIROBI na MOMBASA tunawatumia dawa kwa njia ya mabasi .
WASILIANA NASI KUPITIA SIMU NAMBA 0766 53 83 84
Na kwa taarifa zaidi kuhusu huduma zetu, tutembelee kila siku kupitia blogu yetu:
www.
from MPEKUZI
Comments
Post a Comment