Tatizo la ukosefu/upungufu wa nguvu za kiume ni nini ?
Ukosefu ama upungufu wa nguvu za kiume ni ile hali ya mwanaume kutokuwa na uwezo wa kufanya tendo la ndoa kwa ukamilifu
Hatua mbili Muhimu
Ili mwanaume aweze kufanya tendo la ndoa na andelee kufanya tendo la ndoa, ni lazima maumbile yake ya kiume yapitie hatua kuu mbili kama ifuatavyo :
Hatua ya kwanza, ni lazima yaweze kusimama barabara na kuwa magumu kama msumari.
Na hatua ya pili ni lazima, yaendelee kusimama kwa muda mrefu wakati wa tendo la ndoa. Hatua zote mbili zinapo kamilika, ndipo tunapo pata kitu kinaitwa STRONGER AND LONGER ERECTION
Endelea na Makala hii kwa <<Kubofya Hapa>.
Endelea na Makala hii kwa <<Kubofya Hapa>.
from MPEKUZI
Comments
Post a Comment