Jeshi la Polisi linapenda kuwatangazia kuwa usaili wa vijana wenye fani maalum ambao walioomba kujiunga na Jeshi la Polisi Tanzania kupitia Mtandao (online) usaili wao utafanyika tarehe 30/10/2021 saa 2.00 asubuhi Makao Makuu ya Polisi Dodoma.
Orodha ya vijana waliochaguliwa kufanya usaili Makao Makuu ya Polisi Dodoma imeambatanishwa pamoja na tangazo hili.
Imetolewa na;
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania
Makao Makuu ya Jeshi la Polisi
==>>Bofya Hapa Kupakua Majina ya waliochaguliwa kufanya usaili Makao Makuu ya Polisi Dodoma
from MPEKUZI
Comments
Post a Comment