PICHA: Rais Samia amtembelea Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa kumjuilia hali

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Edward Lowassa wakati alipo mtembelea kumjulia hali nyumbani kwake Oysterbay Jijini Dar es Salaam leo tarehe 26 Oktoba 2021.  Kushoto Mke wa Mhe. Lowassa Mama Regina Lowassa



from MPEKUZI

Comments