Namna ya Kukata Rufaa Bodi ya Mikopo kama Hujapata mkopo au hujaridhika na kiwango ulichopewa..


Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza  (Jumapili, Oktoba 17, 2021) orodha ya Awamu ya Kwanza yenye wanafunzi 37,731 wa mwaka wa kwanza waliopangiwa mikopo yenye thamani ya TZS 99.9
 
Kwa mujibu ya Bodi ya mikopo, Orodha ya Awamu ya pili itatangazwa  Alhamisi, October 21, 2021. Endelea kutembelea ukurasa huu pamoja ya ukurasa wa Ajira(www.ajirazote.com) kwa habari zaidi.
 
Wakati tukisubiri bodi ya mikopo wamalizie kutoa awamu zote za mikopo, tumeona ni vyema tukakuandalia makala inayoeleza kwa kina namna ya kukata Rufaa kwa wale watakaokosa mikopo au watakaopewa mkopo ambao kwa namna moja au nyingine wanadhani ni mdogo....
 
👉Tumekuandalia hatua 7 muhimu za kufuata wakati wa kukata rufaa.
 
KUMBUKA;
Awamu hii ya Rufaa huwa hakuna muda wa kuruhusu watu kufanya marekebisho baada ya ku-submit rufaa zao. Hivyo basi, kuwa makini mno kwenye kujaza data (taarifa) zako. Unaweza pia kumuomba mtu wako wa karibu akague ulichojaza ili kuona makosa unayoweza kuwa umeyafanya.
 
Vilevile, hakikisha attachments zote zinakuwa kwa mfumo wa PDF (Portable Document Format). Wakati ukiwa una-preview attachment husika hakikisha maneno yote yanasomeka vizuri, na mihuri yote inaonekana vizuri.
 
 
👉Kupata nafasi mbalimbali za kazi serikalini, mashirika binafsi <<BOFYA HAPA>>


from MPEKUZI

Comments