Tangazo la Nafasi 700 za Kazi Jeshi la Magereza Tanzania


Kufuatia mkakati wa Serikali wa kuimarisha utendaji wake, imetoa fursa ya ajira kwa Wizara na taasisi mbalimbali za Serikali katika nafasi mbalimbali kwa kadri ya mahitaji yake. 

Kwa muktadha huo, Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, Meja Jenerali Suleiman Mungiya Mzee anatangaza nafasi za ajira 7OO za kujiunga na Jeshi la Magereza kwa mwaka 2021kwa wale wenye elimu ya kidato cha nne na wale wenye taaluma/ujuzi mbalimbali kama zilivyoainishwa katika tangazo hili.

 

==>>Kujua Zaidi pamoja na Kutuma Maombi,BOFA HAPA 

Mwisho wa Maombi: 10.10.2021

 

 

==>>Kujua Zaidi pamoja na Kutuma Maombi,BOFA HAPA 

Mwisho wa Maombi: 10.10.2021

from MPEKUZI

Comments