Rais Samia Suluhu Hassan Awasili Jijini Dar Es Salaam Akitokea Nchini Marekani


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Jijini Dar es Salaam wakati akitokea New York nchini Marekani leo tarehe 25 Septemba, 2021.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam wakati akitokea New York nchini Marekani leo tarehe 25 Septemba, 2021. Kushoto ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa



from MPEKUZI

Comments