Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Mhe. Jerry Slaa amewasili katika viwanja vya Bunge kuitikia wito wa Spika Ndugai uliomtaka kufika mbele ya Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kujibu tuhuma zinazomkabili ikiwemo kusema uongo na kushusha hadhi na heshima ya Bunge.
Comments
Post a Comment