Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inapenda kufahamisha umma na wadau wa Elimu ya Juu nchini kuwa awamu ya kwanza ya udahili kwa ngazi ya Shahada ya Kwanza katika Taasisi za Elimu ya Juu nchini kwa mwaka wa masomo 2021/2022 imekamilika.
Chagua chuo ulichoapply hapo chini Uone umechaguliwa wapi .Tunaendelea kuongeza idadi ya Vyuo. Endelea kutembelea ukurasa huu
from MPEKUZI
Comments
Post a Comment