Ajira Mpya Serikalini: Kuna Nafasi 134 Shirika la Reli Tanzania(TRC), Nafasi 35 TANESCO, Nafasi 18 Muhimbili, CBE, TIA na ATC
1. Tangazo la Nafasi Mpya za Kazi TANESCO.
-Wanataka Geographical Information System (GIS)- Nafasi 35
Elimu: Cheti cha form IV au Form VI pamoja na Diploma mojawapo kati ya hizi:Geographical Information Systems (GIS), Geomatics, Geo-Informatics, Cartography.
Deadline: 03/09/2021.
==>>Kujua zaidi pamoja na kutuma Maombi <<BOFYA HAPA>>
_________________________________
2. Tangazo la Nafasi Mpya za Kazi Shirika la Reli Tanzania-TRC
- Accounts Assistant II- Nafasi 2.
- Mechanical Artisans (Diesel Mechanics) -Nafasi 15
- Electrical Artisans (Diesel Electrical) – Nafasi 15
- Assistant Commercial Officer II- Nafasi 4
- Coach Attendant II - Nafasi 1
- ICT Officer II (System Administrator) - Nafasi 1
- Locomotive Driver II- Nafasi 2
- Receptionist II- Nafasi 1
- Station Master II- Nafasi 6
- Plant Operator II- Nafasi 1
- Civil Artisan (Gangman) – Nafasi 58
- Signal And Telecommunications Artisan – Nafasi 10
- Mechanical Artisans (Automobiles)- Nafasi 5
- Mechanical Artisans (Welding) – Nafasi 4
- Administrative Officer II- Nafasi 2
- Human Resource Officer II - Nafasi 2
- Driver II- Nafasi 5
Deadline: 03/09/2021.
==>>Kujua zaidi pamoja na kutuma Maombi <<BOFYA HAPA>>
_________________________________
3. Tangazo la Nafasi mpya za kazi Hospitali ya Taifa Muhimbili
- Dhobi II-Nafasi 1
- Artisan II (Welding & Fabrication)-Nafasi 1
- Health Assistant II -Nafasi 12
- Health Laboratory Scientist II- Nafasi 3
- Nursing Officer II - Nafasi 1
Deadline: 02/09/2021.
==>>Kujua zaidi pamoja na kutuma Maombi <<BOFYA HAPA>>
_________________________________
4.Tangazo la Nafasi mpya za kazi Tanzania Institute of Accountancy (TIA)
- Wanataka Rector
-Deadline: 02/09/2021.
==>>Kujua zaidi pamoja na kutuma Maombi <<BOFYA HAPA>>
5.Tangazo la Nafasi mpya za kazi Arusha Technical College (ATC)
-Wanataka Instructor II (Electrical)
-Deadline: 02/09/2021.
==>>Kujua zaidi pamoja na kutuma Maombi <<BOFYA HAPA>>
6. Tangazo la Nafasi mpya za kazi College of Business Education (CBE)
-Wanataka Registrar
-Deadline: 02/09/2021.
==>>Kujua zaidi pamoja na kutuma Maombi <<BOFYA HAPA>>
7. Tangazo la Nafasi mpya za kazi Jeshi la Polisi Tanzania
-Kuna nafasi nyingi
-Deadline: 30/08/2021.
==>>Kujua zaidi pamoja na kutuma Maombi <<BOFYA HAPA>>
_________________________________
8. Nafasi 39 za Kazi Halmashauri ya Wilaya ya Muleba
- Dereva- Nafasi 6
- Mtangazaji Msaidizi- Nafasi 2
- Mwandishi wa Habari wa Redio-Nafasi 1
- Wakusanya Ushuru- Nafasi 30
-Deadline: 1/09/2021.
==>>Kujua zaidi pamoja na kutuma Maombi <<BOFYA HAPA>>
_________________________________
from MPEKUZI
Comments
Post a Comment