Nafasi 76 za Kazi Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA)


Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) wametangaza nafasi 76 za kazi za mikataba kama ifuatavyo

1.  Procurement And Supplies Officer II -Nafasi 26

Vituo vya Kazi: Geita, Kagera, Katavi, Kigoma, Kilimanjaro, Manyara, Mara, Mtwara, Mwanza, Rukwa, Ruvuma, Songwe and Tabora.

2.  Engineer  II - Nafasi 47 

Vituo vya Kazi: Monduli DC, Bukombe DC, Geita TC, Mafinga TC, Iringa DC, Kilolo DC, Mufindi DC, Muleba DC, Bukoba DC, Karagwe DC, Mpimbwe DC, Kigoma DC, Buhigwe DC, Kasulu TC, Kilimanjaro Region, Lindi Region, Ruangwa DC, Kilwa DC, Rorya DC, Bunda TC, Babati TC, Tarime TC, Mbeya DC, Rungwe DC, Morogoro DC, Ulanga DC, Mtwara MC, Masasi TC, Meatu DC, Singida MC, Iramba DC, Itigi DC, Ikungi DC, Mkalama DC, Tunduma TC, Mbozi DC, Ludewa DC, Njombe TC, Wanging’ombe DC, Kibaha DC, Kalambo DC, Songea MC, Songea DC, Mbinga TC, Kahama MC, Tabora Region and Handeni TC.

 

Kujua Zaidi pamoja na kutuma Maombi, BOFYA HAPA



from MPEKUZI

Comments