Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amefariki dunia jijini Dar kwa maradhi ya moyo wakati akipatiwa matibabu.
Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan ametangaza msiba huo kuptia Televisheni ya Taifa TBC na kusema kuwa kutakuwa na maombolezo ya kitaifa siku 14.
from MPEKUZI

Comments
Post a Comment