PICHA: Rais Samia Suluhu Hassan aongoza viongozi mbalimbali wa Ndani na Nje ya Nchi kumuaga aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akitoa Heshima za Mwisho kwenye jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Awamu ya tano Hayati Dkt. John Pombe Magufuli katika uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma



from MPEKUZI

Comments