Tangazo la Kujiunga na Nafasi za Masomo Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) katika kampasi zake za Dar es Salaam, Dodoma, Mwanza na Mbeya
MAOMBI YA KUJIUNGA NA CHUO MACHI 2021
Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) anakaribisha maombi ya kujiunga na Chuo katika kampasi zake za Dar es Salaam, Dodoma, Mwanza na Mbeya kwa muhula wa machi 2021/2022
Chuo kinatoa ASTASHAHADA (CERTIFICATE) NA STASHAHADA (DIPLOMA) katika fani za Uhasibu (Accountancy), Masoko (Marketing Management) Usimamizi wa Biashara (Business Administration), Manunuzi na Ugavi (Procurement and Supplies Management), Vipimo na Mizani (Metrology and Standardization) na TEHAMA (Information and Communication Technology)
Ø Mwombaji wa :-
Astashahada Certificate),
Awe amehitimu kidato cha nne na mwenye ufaulu wa angalau alama“D” nne, au mwenye NVA level 3.
Stashahada (Diploma)
Awe amehitimu kidato cha sita na mwenye ufaulu wa angalau alama “E” (Principal pasimoja) na“S” (Subsidiary pasi moja), Au amefuzu ngazi ya cheti katika chuo kinachotambulika na Serikali.
Dirisha la maombi kwa njia ya mtandao limefunguliwa kuanzia tarehe 15/1/2021 hadi tarehe 20/2/2021. Tembelea. Tovuti ya Chuo www.cbe.ac.tz Au fika katika kampasi zetu kama ifuatavyo/au piga simu hizi
MWANZA Eneo la Ilemela ( Mecco Kangaye)
0686 813 841/0759 924 626/0659 707 000
DAR ES SALAAM (Mtaa wa BIBI Titi Mohammed)
0756 722 467/065 525 0115
DODOMA (Eneo la Mtaa wa makole Karibu na jengo la Bunge
0754 940 660/0767 097 463
MBEYA Eneo la Uzunguni “B” Mkabala na Hoteli ya Rift Valley
0756 516 771/0716 803 664/0768610505
from MPEKUZI
Comments
Post a Comment