INFINIX Yatangaza Washindi Wa Promosheni Ya Note 8.

Infinix kuendelea kuwafaidisha wateja wake na promosheni ya Infinix NOTE 8 #Kasikazini. Promosheni hii ilizinduliwa sambamba na simu mpya ya Infinix NOTE 8 mnamo tarehe 19/11/2020 kwa kushirikiana na kampuni ya mawasiliano Vodacom Plc. 


Infinix kupitia promosheni ya Infinix NOTE 8 #Kasikazini inakupa nafasi ya kujishindia zawadi kemkem kama vile Home theater na zawadi nyengine kutolewa papo hapo kama vile breakfast maker na Gift package yenye bidhaa za Infinix tu pindi ununuapo Infinix NOTE 8/NOTE 8i katika maduka yote ya simu nchini Tanzania                                 
 

                                                                                      


Infinix NOTE 8 ni simu ya kwanza kwa kampuni ya simu ya Infinix kuja na Media Tek Helio G80 Octa Core Processor, aina hii ya processor inaifanya Infinix NOTE 8 kuwa simu yenye speed/kasi zaidi wakati wa uendeshaji application zenye ujazo mkubwa kama vile Games (call of duty), Polaris office na nyenginezo.
                                                                                 

Kupitia promosheni ya Infinix NOTE 8 #Kasikazini Infinix imetangaza majina ya washindi wa promosheni hiyo jana tarehe 26/11/2020 ambao ni Obedi na Felix,  promosheni hii kuendelea hadi tarehe 30/11/2020 ambapo washindi wengine watatangazwa live kupitia page ya @infinimobiletz. 


Tembelea https://www.infinixmobility.com/ au jiunga na page ya Xclub https://www.infinix.club/ ili kufahamu zaidi kuhusu bidhaa za Infinix.
 
KWA MAWASILIANO;
0744606222.




from MPEKUZI

Comments