Skip to main content
Zitto Kabwe Apoteza Ubunge Kigoma Mjini.....CCM washinda
Msimamizi wa Uchaguzi katika Jimbo la Kigoma Mjini amemtangaza Kirumbe Ng'enda wa CCM kuwa Mshindi wa Ubunge wa Jimbo hilo kwa kupata kura 27,638 akifuatiwa na Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo aliyepata kura 20,600.
from MPEKUZI
Comments
Post a Comment