BREAKING: NEC yamtangaza Dr Magufuli kuwa mshindi kiti cha urais


 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imemtangaza aliyekuwa mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM Dkt.John Pombe Magufuli kuwa mshindi wa nafasi hiyo baada ya kupata kura 12,516,252 akifuatiwa na Tundu Lissu wa CHADEMA mwenye kura 1,933,271

from MPEKUZI

Comments