Wizara ya Sheria Marekani Yataka App Maarufu ya WeChat Ipigwe Marufuku


Wizara ya Sheria Marekani imetaka app ya China WeChat ipigwe marufuku applestore/playstore kisa ni tishio kwa usalama.

Wiki iliyopita Wizara ya biashara ilipiga marufuku WeChat lakini Mahakama ikatangaza kuchelewesha vizuizi sababu vitaathiri haki za Watumiaji



from MPEKUZI

Comments