Viwanja vikubwa sana Vinauzwa : Mapinga (Baobab Sec)

Viwanja vikubwa sana: Mapinga (Baobab Sec)

Viwanja vikubwa vya sqm 1000, sqm 2000, sqm 3000 na sqm 4000 vinauzwa Mapinga, km 3 kutoka Baobab Sec.

Bei ya sqm moja ni tzs 15,000 negotiable na kulipa kwa awamu luksa.

Huduma zote zipo.
Hakuna dalali/udalali.
Call 0757100236


from MPEKUZI

Comments