Skip to main content
PICHA: Furaha ya Rais Magufuli Alipozungumza Na Wananchi Wa Mkoa Wa Dodoma
Mgombea Urais kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akicheza juu ya Gari yake mara baada ya kuzungumza na wananchi wa Dodoma mjini wakati akitokea mkoani Tabora kwenye mikutano ya Kampeni ya CCM leo tarehe 22 Septemba 2020
from MPEKUZI
Comments
Post a Comment