Orodha ya Wasanii watakaokuwepo Jukwaani Leo Ufunguzi wa Kampeni za Mgombea Urais Zanzibar Dkt Hussein Ally Mwinyi.

Orodha ya Wasanii watakaokuwepo na kupanda Jukwaani Leo Jumamosi kwenye Ufunguzi wa Kampeni za Mgombea Urais Zanzibar Dkt Hussein Ally Mwinyi.
Tukio litakuwa LIVE  kupitia vituo vya runinga vya ZBC, TBC, Clouds, ITV na Channel 10, pia matangazo yatarushwa kupitia Kurasa rasmi za Chama mitandaoni. @ccmtanzania @dr.hmwinyi












from MPEKUZI

Comments