Shule 10 Bora Matokeo Kidato Cha Sita 2020

Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza matokeo ya kidato cha sita mwaka 2020.

Matokeo hayo yametangazwa leo Ijumaa 21 August 2020 na Katibu Mtendaji wa NECTA, Dr Charles Msonde

Katika shule 10 bora kitaifa kwenye matokeo hayo, 8 ni za serikali na 2 ni za binafsi


from MPEKUZI

Comments