PICHA: Mgombea Urais CCM Dr. Magufuli akicheza na wanamuziki wa Bendi ya TOT mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Jamhuri Dodoma

Mgombea wa Urais CCM Dkt. John Magufuli akicheza na wanamuziki wa Bendi ya TOT mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma katika uzinduzi wa Kampeni za chama hicho.
Mgombea Urais wa CCM Dkt.John Magufuli akiwasili katika uwanja wa Jamhuri katika Uzinduzi wa Kampeni za chama hicho.



from MPEKUZI

Comments