PICHA: CHADEMA Walivyozindua Kampeni zao za Uchaguzi

Mamia ya wananchi jana Ijumaa tarehe 28 Agosti 2020 walijitokeza katika uzinduzi wa kampeni za urais wa Tanzania kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) katika Uwanja wa Zakhiem, Mbagala jijini Dar es Salaam  .

Tundu Lissu ndiye anayepeperusha bendera ya Chadema kwenye nafasi ya urais na Salumu Mwalimu mgombea mwenza.

Katika uchauzi huo, Lissu atachuana na wagombea wengine 14 akiwemo Dk. John Magufuli, mgombea wa Chama cha Cha Mapinduzi (CCM) 



from MPEKUZI

Comments