NEC Yamteua Yeremia Maganja wa NCCR-Mageuzi kuwa mgombea urais wa Tanzania

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji mstaafu Semistocles Kaijage amemteua Yeremia Maganja wa NCCR-Mageuzi kuwa mgombea urais wa Tanzania na Haji Ambar Khamisi kuwa mgombea mwenza katika Uchaguzi Mkuu wa 28 Oktoba 2020.


from MPEKUZI

Comments