NEC Yamteua Leopold Mahona kugombea Urais wa Tanzania kwa Tiketi ya Chama cha National Resistance Alliance (NRA).
on
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imewateua Leopold Mahona kugombea Urais wa Tanzania na Ally Hassan kugombea nafasi ya Makamu wa Rais wa Tanzania kupitia Chama cha National Resistance Alliance (NRA).
Comments
Post a Comment