Skip to main content
NEC Yamteua John Shibuda kuwa mgombea wa Urais wa Tanzania Kwa Tiketi ya chama cha ADA-TADEA.
NEC imemteua John Shibuda kuwa mgombea wa Urais wa Tanzania na Hassan Kijogoo kuwa mgombea wa Kiti cha Makamu wa Rais wa chama cha ADA-TADEA.
Zoezi hilo limefanywa na Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwenye ofisi za NEC Dodoma
from MPEKUZI
Comments
Post a Comment