Mkuu wa Chuo Kikuu Kishiriki cha Kumbukumbu ya Stefano Moshi (SMMUCo) kilichopo Moshi anatangaza nafasi za masomo katika ngazi ya Shahada, Stashahada na Astashahada kwa mwaka wa masomo 2020/2021.
CHUO KINA NAFASI ZA UDAHILI KATIKA KOZI ZIFUATAZO
SHAHADA
1. Bachelor of Arts in Community Development
2. Bachelor of Accounting and Finance
3. Bachelor of Arts with Education
ASTASHAHADA (CHETI) NA STASHAHADA (DIPLOMA)
1. Law
2. Information Technology
3. Accounting and Finance
4. Mass Communication
5. Community Development
6. Business Administration
7. Human Resource Management
8. Procurement and Supply
9. Tour guiding and Tourism
10. Office Management and Secretarial
11. Journalism
12. Records and Archives Management
13. Theology
SIFA ZA MWOMBAJI
Kozi za Cheti: Mwombaji awe amehitimu kidato cha nne ufaulu wa alama D nne na kuendelea isipokuwa somo la Dini.
Stashahada (Diploma): Mwombaji awe amemaliza kidato cha sita na awe na Principal Pass moja na subsidiary moja isipokuwa somo la dini AU awe amehitimu astashahada kutoka chuo kinachotambulika na Serikali.
Shahada: Mwombaji awe amehitimu kidato cha sita na ufaulu wa alama nne na kuendelea katika masomo mawili isipokua masomo ya dini AU Awe amehitimu Stashahada kwa ufaulu wa G.P.A ya 3.0 na kuendelea kutoka chuo kilichosajiliwa na serikali na atume maombi yake kupitia mtandao wa chuo www.smmuco.ac.tz .BOFYA NENO ONLINE APPLICATION,.
KWA MSAADA 0754 072572, 0755 807199
FOMU ZA MAOMBI
Fomu za Maombi zinapatikana katika sehemu zifuatazo;
Makao Makuu Masoka Kibosho , Chuo cha Masoka Moshi Mjini eneo la Machinjioni Bomambuzi, Christian Bookshop Mkabala na Stendi Kuu ya Mabasi Moshi Mjini, Ofisi za Majimbo na Sharika zote za KKKT Dayosisi ya Kaskazini na kwenye website ya Chuo www.smmuco.ac.tz
Kwa wale wa Cheti na Diploma mwombaji ajaze fomu yake na kuirudisha chuoni au pale alipoichukulia.
MAWASILIANO
Kwa maelezo zaid zaidi: Fika ofisi za udahili zilizopo Moshi Mjini au wasiliana kwa namba;
0653-422928, 0756-029652, 0756-512757, 0786 862089 au
0755 319 082
+255 756 302 743
+255 755 553 970
068 726 3623
+255 65 319 3550
+255 67 278 7155
+255 756 302 743
+255 755 553 970
068 726 3623
+255 65 319 3550
+255 67 278 7155
MAOMBI YOTE YA KUJIUNGA NA CHUO NI BURE
from MPEKUZI
Comments
Post a Comment