Rais Magufuli Pamoja Na Mkewe Mama Janeth Magufuli Washiriki Misa Ya Dominika Ya 17 Ya Mwaka ‘a’ Wa Kanisa Katoliki Pamoja Na Kumuaga Rais Mstaafu Wa Awamui Ya Tatu Hayati Benjamin William Mkapa
Makanali wa JWTZ wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Marehemu Benjamin William Mkapa wakati wakiingia katika sehemu ya Ibada katika Misa ya Dominika ya 17 ya Mwaka ‘A’ wa Kanisa Katoliki pamoja na Kumuaga Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Marehemu Benjamin William Mkapa katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam...
Gari la Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ likiwa limebeba Jeneza lenye mwili wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Marehemu Benjamin William Mkapa wakati likiwasili katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
from MPEKUZI
Comments
Post a Comment