PICHA: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Akiaga Mwili wa Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiaga Mwili wa Marehemu Rais wa Awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa, katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam, Leo Julai 27, 2020 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


from MPEKUZI

Comments