PICHA: Rais Magufuli afika msibani na kutia saini kitabu cha maombolezo ya Hayati Benjamin William Mkapa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli amefika msibani Masaki Dar es salaam ambapo amesaini kitabu cha maombolezo na kutoa pole kwa familia ya Marehemu Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Benjamin Mkapa.


from MPEKUZI

Comments