Zoezi la kura za maoni katika Jimbo la Kawe Dar es salaam CCM, limemalizika na Furaha Dominic Jacob ameongoza kwa kupata kura 101.
Furaha Dominic Jacob - 101
Angella Kiziga - 85
Josephat Gwajima - 79
Benjamin Sitta - 61
Vincent Mashinji - 2
from MPEKUZI
Comments
Post a Comment