BREAKING: Zitto Kabwe Kaachiwa Huru, Lakini Kwa Masharti Haya

Kiongozi wa Chama cha ACT- Wazalendo Zitto Kabwe ameachiwa huru  na Mahakama ya Kisutu kwa sharti kwamba asitoe matamshi ya uchochezi katika kipindi cha mwaka mmoja.

Katika kesi hiyo   ya uchochezi,  Zitto Kabwe  alikuwa anatuhumiwa kutoa maneno ya uchochezi yenye kuleta hisia ya hofu na chuki  akiwa katika mkutano na waandishi wa habari, uliofanyika katika makao makuu ya ofisi ya Chama cha ACT –Wazalendo Oktoba 28, 2018


from MPEKUZI

Comments