Mbunge wa Rombo kupitia CHADEMA ,Joseph Selasini Alalamika Kutengwa na Wenzake

Mbunge wa Rombo kupitia CHADEMA  ,Joseph Selasini, ameonesha kusikitishwa baada ya kuondolewa bila kupewa taarifa kwenye 'Group la WhatsApp' la Wabunge wa chama chake, ambalo pia yumo Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe

"Namshukuru Katibu wa Bunge kwa kuwasilisha ombi langu mbele yako, leo natoa mchango wangu nikiwa nimetengwa na familia ya kisiasa group la WhatsApp la chama changu, ambalo wapo viongozi wakuu wa chama changu, bila kupewa taarifa ya kukemewa au juu ya hatua hiyo iliyochukuliwa, alisema.

Amesema tangu kuanza kwa kikao cha bajeti ndiyo mara ya kwanza kusimama kuchangia baada ya kupata ridhaa ya meza ya Spika.



from MPEKUZI

Comments