Mwanamuziki na mpiga talumbeta wa Cameroon Manu Dibango ambaye alivunja rekodi kwenye soko la muziki huko Amerika mnamo 1973 na kibao chake cha 'Soul Makossa', amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 86 kutokana na ugonjwa wa Covid-19 (Corona).
Manu Dibango alikuwa amelazwa hospitalini kwa siku kadhaa, baada ya kupimwa na kupatiana na virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Covid-19.
Manu Dibango ambaye alizaliwa nchini Cameroon mnamo mwaka 1933, alifariki dunia akiwa nje ya hospitali, jijini Paris, nchini Ufaransa.
Wiki iliyopita N'djoke Dibango ' Manu Dibango' kwenye ukurasa wake wa Facebook, alitangaza kupatwa na ugonjwa wa virusi vya Covid-19 (Corona).
-RFI
-RFI
from MPEKUZI

Comments
Post a Comment