Rais Magufuli amezindua kiwanda cha Maparachichi Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya ambapo amewaahidi wawekezaji wa Kiwanda hicho kurejesha VAT zinazodaiwa na wawekezaji baada ya zoezi la uhakiki kukamilika.
Amesema, Serikali ilizuia kurejesha fedha hizo kutokana na wawekezaji wengi waliwasilisha madeni hewa na hivyo kuisababishia Serikali hasara kubwa.
Aidha Rais Magufuli amemuomba mwekezaji huyo kuwafikiria wakulima kuhusu suala la nyongeza ya bei ya zao lao pamoja na mshahara kwa wafanyakazi.
==>>Msikilize hapo chini
==>>Msikilize hapo chini
from MPEKUZI
Comments
Post a Comment