Rais Magufuli amuapisha Balozi Mlowola....Aagiza mke wake kuhamishwa kikazi Amfuate Mume Wake

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo  Alhamisi March 27, 2019 amemuapisha Balozi Mteule wa Tanzania nchini Cuba, Valentino Mlowola  Ikulu jijini Dar Es Salaam.

Baada ya zoezi hilo la kumwapisha, Rais Magufuli ameagiza mke wa Balozi  huyo wa Tanzania nchini Cuba, Valentino Mlowola kama ni mtumishi wa serikali basi ahamishwe kikazi ili aambatane na mume wake wakafanye kazi pamoja na kuongeza kuwa jambo hilo sio ajabu

==>>Msikilize hapo chini


from MPEKUZI

Comments